You are using an outdated browser. Please upgrade your browser to improve your experience.
Tenzi Za Rohoni

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili

Tenzi Za Rohoni

by Justin Bulenga
Tenzi Za Rohoni
Tenzi Za Rohoni
Tenzi Za Rohoni
Apple Watch
Tenzi Za Rohoni Apple Watch App
Tenzi Za Rohoni Offers Apple Watch App
Check the details on WatchAware

What is it about?

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.

Tenzi Za Rohoni

App Details

Version
3.1
Rating
(2)
Size
17Mb
Genre
Reference
Last updated
October 7, 2024
Release date
February 18, 2022
More info

App Screenshots

Tenzi Za Rohoni screenshot-0
Tenzi Za Rohoni screenshot-1
Tenzi Za Rohoni screenshot-2
Tenzi Za Rohoni screenshot-3
Tenzi Za Rohoni screenshot-4
Tenzi Za Rohoni screenshot-5
Tenzi Za Rohoni screenshot-6
Tenzi Za Rohoni screenshot-7
Tenzi Za Rohoni screenshot-8
Tenzi Za Rohoni screenshot-9

App Store Description

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.

• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa
utukufu wa Mungu.

Disclaimer:
AppAdvice does not own this application and only provides images and links contained in the iTunes Search API, to help our users find the best apps to download. If you are the developer of this app and would like your information removed, please send a request to takedown@appadvice.com and your information will be removed.