You are using an outdated browser. Please upgrade your browser to improve your experience.
TaxiBubu Drivers (Dereva)

KISWAHILI:

KISWAHILI:

TaxiBubu Drivers (Dereva)

by TaxiBubu Company
TaxiBubu Drivers (Dereva)
TaxiBubu Drivers (Dereva)
TaxiBubu Drivers (Dereva)

What is it about?

KISWAHILI:

TaxiBubu Drivers (Dereva)

App Details

Version
3.0.0
Rating
NA
Size
101Mb
Genre
Travel Navigation
Last updated
December 2, 2024
Release date
August 30, 2022
More info

App Screenshots

TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-0
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-1
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-2
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-3
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-4
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-5
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-6
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-7
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-8
TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshot-9

App Store Description

KISWAHILI:
Kujisaili ni lazima dereva awe na namba ya leseni ya udereva pamoja, kadi ya gari pamoja na namba ya kitambulisho cha taifa (NIDA).
Programu hii imetengenezwa kusaidia kupunguza idadi ya watu kwenye usafiri wa umma ambapo tumeona mabasi ya umma yakiwa yamejazwa abiria mpaka mlangoni wakati watu wenye magari magari binafsi wanasafiri njia hiyohiyo wakiwa na magari matupu yasiyo na abiria! ABIRIA anapaswa kufika KITUO CHA BASI au STENDI ya mabasi iliyopo karibu na yeye, atafungua programu halafu atamchangua DEREVA anayepita njia hiyo hiyo au anayeelekea sehemu karibu na aendako kulingana na muda alioweka dereva. Dereva atapokea ombi la abiria kwenye simu na ATAMPAKIA abiria kwenye kituo cha basi alipo. Vilevile dereva ATAMSAFIRISHA abiria mpaka kwenye kituo cha basi au ENEO SALAMA la umma lililopo karibu na mahala abiria aendapo kisha kupokea nauli. Ni matumaini yetu kuwa kupitia programu hii, tutaweza kutengeneza jukwaa ambalo madereva na abiria watafaidika bila mmoja kumuumiza mwenzie au bila kumdhuru mtu mwingine. Safari Njema!

ENGLISH:
To register a driver must have a driver's license number as well as a national identification number (NIDA).
This app is designed to help reduce the number of people on public transport where we have seen public buses loaded with passengers to the doorsteps while people with private cars travel the same way with empty seats! PASSENGERS should arrive at the nearest BUS STATION or BUS STAND, then write down the destination of the program and then select the driver who is passing the same route or heading to the place that’s nearest to their destination. The driver will receive the passenger's request on the phone and will PICK UP the passenger at the bus station where he/she is located. The driver will also transport passengers to the bus station or SAFE PUBLIC AREA located near the passenger’s destination and then receive the fare. We hope that through this program, we will be able to create a platform where drivers and passengers will benefit without harming each other or anyone else. Nice trip!

Disclaimer:
AppAdvice does not own this application and only provides images and links contained in the iTunes Search API, to help our users find the best apps to download. If you are the developer of this app and would like your information removed, please send a request to takedown@appadvice.com and your information will be removed.